Fahari Kuku Farm ni wazalishaji na wasambazaji wa vifaranga wa kuku chotara. Hawa ni aina ya kuku chotara wenye maumbo makubwa na wavumilivu dhidi ya magonjwa ya kuku, hukua kwa haraka na wanafaa kwa matumizi ya nyama na utagaji wa mayai
Bei ni Sh 1,800 kwa kifaranga, wakiwa na umri wa siku mbili
Tupo Kahama Mkoani Shinyanga, tunasafirisha kwenda mikoa yote kanda ya ziwa kupitia basi za abiria
CHAKULA CHA KUKU NA VIFARANGA
Tuna chakula cha kuku chenye ubora wa juu kuwezesha ukuaji wa haraka kwa vifaranga, bei ni Sh 2,000 kwa kilo moja. Tunasafirisha kwenda maeneo yote ya kanda ya ziwa
Fahari Kuku Farm tupo Kahama, Shinyanga
Simu: 0767659145, 0787659145
Email: info@kuku.co.tz





